Wednesday, June 24, 2015

KOMEDI KUMPELEKA NISHA UGHAIBUNI

Sikutaka kusema mapema ila wameniwahi,..
šŸ˜¢tukijaaliwa na ahsante M'Mungu we ni mwema sana... Kikubwa ahsanteni sana mashabiki zangu wote,nyi ndo mnaotenda haya.
Management yng yote ahsante...
#MTAAKWAMTAA ahsante šŸ˜¢šŸ˜­dah
Nisha punguza comedy haikufai.. guyz kwny ugali usichague kikubwa kiwe halali ☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆

1 comment: